Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #41
๐ ๐ ๐ ๐Mimi sijawahi kunitokea maana nawatukanaga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐Mimi sijawahi kunitokea maana nawatukanaga sana
Ni wajinga sana๐ค For sure,Airtel sio jipu maana jipu linapona. Airtel ni DONDA NDUGU haliponi na hawabadiliki hawa Jamaa. Wahudumu na huduma zao ni za hovyo mno. For sure ata ukitembelea makao pale Morocco wahudumu yaani wanavibesi halafu wamesinyaaa kinoma dah!! Sasa watu wamekomaa vile unategemea nyororo kweli
NitajaribuTigo kwa mbaliii ila wote ni hovyo tu!
Kwanini huyo mama huwa anachukiwa na wengi humu? ๐Uandishi wa kilaza
Duh! Sasa tuende wapi?Hawa nao chenga sana maana wanatuunganisha kwenye huduma tusizozijua na ukiwauliza wanakwambia ndiyo ulijiunga kweli.
Mfano mimi niliambiwa nilikopa siku 2 nyuma ukiangalia wakati huo nilikuwa kifurushi Cha wiki na dk zilibaki kibao tu sasa nikiwauliza nawezaje kukopa wakati dakika za kifurushi bado zipo jibu la customer care ni kwamba wewe ulikopa[emoji15]
Hii mitandao ina huduma finyu sana katika vitengo vya huduma kwa wateja.
Labda TTCLDuh! Sasa tuende wapi?
Pole Sana ndawooJina langu Ni la Kimasai. Nilipiga simu customer service Airtel akapokea maza Mwenye lafudhi ya kichaga, nikaeleza shida yangu. Akaniambia nitaje namba ya simu, nikamuambia sijaishika maana lain bado mpya. Nikamuuliza wewe si unaona hapo lakini?
Akaniuliza wewe ni Masai wa wapi hujui hata namba yako?[emoji849] Nikamuuliza umasai unahusikaje hapa? Akanipandishia sauti, akaanza akanifokea hadi nikachukia. Nikamumbia acha kunikashifu mimi siyo Mtoto wako. Akaniambia ahsante kwa kuchagua Airtel, Nakutakia mchana mwema. Nikamuambia fala Wewe [emoji28]
Alafu siyo Mara ya kwanza kuzinguana nao.
Kuna kipindi nilikuwa napewa vocha (elfu 30 kila mwezi) na Ofisini nilipokuwa nafanya kazi na ilikuwa inawekwa Kama muda wa maongezi. Sasa ikawa Mara nyingi kila nikiwekewa hiyo vocha, baada ya sekunde chache nikijiunga kifurushi naambiwa salio lako halitoshi! Kuangalia salio nakuta 29,600(wamekata 400).
Awali Niliwapigia wakaniambia Kuna huduma ya burudani umejiunga wakanielekeza namna ya kujitoa, nikapiga menyu yao Nashangaa inaonyesha hakuna huduma niliyojiunga! Nikawa mpole, nikatafuta Tsh 400 ili ifike elfu 30 nijiunge kifurushi cha mwezi.
Mwezi uliyofuata Airtel wakarudia Tena kukata Tsh 400, nilpowapigia sababu Ni zilezile. Kwa ufupi Ndiyo ukawa Mchezo wao.
Mara mwisho nikawapigia wakaniambia Nilikuwa nimewasha data kabla ya kujiunga. Nikawaambia Siyo kweli Maana hii lain haikuwa hewani na sasaiv ipo kwenye Simu ndogo isiyo na internet, Sasa data nimeiwasha saa ngapi? Huyo dada akaanza kunifokea, Hadi nikaamua kubadilishana lain ya kupokelea vocha ofisni.
Kwa ufupi Airtel ni kampuni isiyo na customer service Representatives na ni wezi wakubwa.
Ingawaa voda Ni wazushi ila internet yao iko vzr Sana than any other mtandao je hili unakubaliana nalo mam anguNakubaliana na wewe kuhusu huduma kwa wateja yao, mimi nilijitowa airtel zamani sana, nikajitowa na voda, wote hao kwa ajili ya customer service zao.
Tigo customer care wako vizuri sana, naona ndiyo bora zaidi, zamani ndiyo walikuwa wabovu zaidi. Sasa Tigo wanaongoza kwa huduma kwa wateja. No doubt.
Sifahamu, mimi situmii sana mitandao kwa data, sina uhakika upi ni mzuri zaidi.Ingawaa voda Ni wazushi ila internet yao iko vzr Sana than any other mtandao je hili unakubaliana nalo mam angu
Voda naungaga vifurushi vya internent na airtel na ungaga vifurushi vya muda wa maongeziDuh! Sasa tuende wapi?
Ukitaka ujue Airtel ni waapuzi ukosee muamala Hawawezi Rudisha hata kama ulomtumia Hapatikani...Jina langu Ni la Kimasai. Nilipiga simu customer service Airtel akapokea maza Mwenye lafudhi ya kichaga, nikaeleza shida yangu. Akaniambia nitaje namba ya simu, nikamuambia sijaishika maana lain bado mpya. Nikamuuliza wewe si unaona hapo lakini?
Akaniuliza wewe ni Masai wa wapi hujui hata namba yako?[emoji849] Nikamuuliza umasai unahusikaje hapa? Akanipandishia sauti, akaanza akanifokea hadi nikachukia. Nikamumbia acha kunikashifu mimi siyo Mtoto wako. Akaniambia ahsante kwa kuchagua Airtel, Nakutakia mchana mwema. Nikamuambia fala Wewe [emoji28]
Alafu siyo Mara ya kwanza kuzinguana nao.
Kuna kipindi nilikuwa napewa vocha (elfu 30 kila mwezi) na Ofisini nilipokuwa nafanya kazi na ilikuwa inawekwa Kama muda wa maongezi. Sasa ikawa Mara nyingi kila nikiwekewa hiyo vocha, baada ya sekunde chache nikijiunga kifurushi naambiwa salio lako halitoshi! Kuangalia salio nakuta 29,600(wamekata 400).
Awali Niliwapigia wakaniambia Kuna huduma ya burudani umejiunga wakanielekeza namna ya kujitoa, nikapiga menyu yao Nashangaa inaonyesha hakuna huduma niliyojiunga! Nikawa mpole, nikatafuta Tsh 400 ili ifike elfu 30 nijiunge kifurushi cha mwezi.
Mwezi uliyofuata Airtel wakarudia Tena kukata Tsh 400, nilpowapigia sababu Ni zilezile. Kwa ufupi Ndiyo ukawa Mchezo wao.
Mara mwisho nikawapigia wakaniambia Nilikuwa nimewasha data kabla ya kujiunga. Nikawaambia Siyo kweli Maana hii lain haikuwa hewani na sasaiv ipo kwenye Simu ndogo isiyo na internet, Sasa data nimeiwasha saa ngapi? Huyo dada akaanza kunifokea, Hadi nikaamua kubadilishana lain ya kupokelea vocha ofisni.
Kwa ufupi Airtel ni kampuni isiyo na customer service Representatives na ni wezi wakubwa.
Nimetangulia kusema Lain ilikuwa mpya sijashika namba kichwani.Kutaja TU namba Yako Uliona shida gani mmasai mmoja wee,yaani tatizo lenu ni wabishi sana kama wenzenu wapare na wasambaa.๐
Naomba 0714 yakoRotten mindset
Huu mtandao umekuwa ni shida sana hata hauna maana kabisaNyinyi mnaosifia Tigo au YAs kwa sasa hamjawahi Kuwa Nje ya Mji Uko interior tigo hii ukifika tu Mswolwa inaanza Kujiuliza hapa Wapi na Network Change, Airtel ndo iko na Coverage kubwa nchi hii Kuliko mtandao wowote ule nadhani
Kusema bora zaidi hapo hapana mkuu nao ni kimeo kbsaNakubaliana na wewe kuhusu huduma kwa wateja yao, mimi nilijitowa airtel zamani sana, nikajitowa na voda, wote hao kwa ajili ya customer service zao.
Tigo customer care wako vizuri sana, naona ndiyo bora zaidi, zamani ndiyo walikuwa wabovu zaidi. Sasa Tigo wanaongoza kwa huduma kwa wateja. No doubt.