Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Sijui ni mimi tu au na wenzangu mnakutana na huu wizi wa data!! Naweka bundle la 5,000 ila cha ajabu ni kwamba wakinitumia ile sms ya umefikia 75% ya matumizi ya bundle nililoweka na muda huo huo sms ya kifurushi chako kimekwisha inaingia!
Yaani sms ya 75% bando nililotumia inaingia muda huu hata dk 1 haiishi na sms ya kfurushi Kimekwisha inaingia!! Ina maana 25% inatumika kwa sekunde kama 30?
Huu ni wizi na utapeli, kwanza situmii sana Instagram au YouTube situmii kabisa zaidi ya JF.
Je, wenzangu mnakutana na huu wizi au ni mimi tu?