Airtel ni wezi na vibaka wanaomiliki kampuni ya mawasiliano

Umemaliza kila Kitu Mkuu. Watu kabla ya Kukurupuka kulaumu Mobile Companies tuanze Kwanza kuangalia Settings za Simu zetu.

Binafsi natumia Airtel tena Bando la MB 400 tu la Wiki na kwa Matumizi yangu ya Kuperuzi tu ( nje ya kuingia YouTube) Facebook, Instagram na Twitter huku nikiwa nipo hapa Jamiiforums na WhatsApp nipo zinanitosha na zinadumu.

Hakuna Mtandao mzuri kama Airtel.
We utakuwa staff wa airtel si bure
 
Nimegundua njia nyengine ni kupakua games,muda niliokuwa nashinda Inst nikitafuta followers kwa Inst account zangu tatu nikaamua ni save data kwa style hii
 
Sijui ni mimi tu au na wenzangu mnakutana na huu wizi wa data!! Naweka bundle la 5,000 ila cha ajabu ni kwamba wakinitumia ile sms ya umefikia 75% ya matumizi ya bundle nililoweka na muda huo huo sms ya kifurushi chako kimekwisha inaingia!

Yaani sms ya 75% bando nililotumia inaingia muda huu hata dk 1 haiishi na sms ya kfurushi Kimekwisha inaingia!! Ina maana 25% inatumika kwa sekunde kama 30?

Huu ni wizi na utapeli, kwanza situmii sana Instagram au YouTube situmii kabisa zaidi ya JF.

Je, wenzangu mnakutana na huu wizi au ni mimi tu?
Mkuu airtel mtandao wa kisenge sana sijui wanazani hizi hela tunaziokota bora voda japo vifurushi vyao vinafanana ila mb haziishi haraka we hata cha buku jero mkuu utakuja kunishukuru.
 
Sijui ni mimi tu au na wenzangu mnakutana na huu wizi wa data!! Naweka bundle la 5,000 ila cha ajabu ni kwamba wakinitumia ile sms ya umefikia 75% ya matumizi ya bundle nililoweka na muda huo huo sms ya kifurushi chako kimekwisha inaingia!

Yaani sms ya 75% bando nililotumia inaingia muda huu hata dk 1 haiishi na sms ya kfurushi Kimekwisha inaingia!! Ina maana 25% inatumika kwa sekunde kama 30?

Huu ni wizi na utapeli, kwanza situmii sana Instagram au YouTube situmii kabisa zaidi ya JF.

Je, wenzangu mnakutana na huu wizi au ni mimi tu?
Sikuhizi mimi napokea sms ya umetumia 100% ya kifurushi chako..mchezo unaishia hapo..yani imekua hovyo kwakweli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom