Airtel ni wezi na vibaka wanaomiliki kampuni ya mawasiliano

We utakuwa staff wa airtel si bure
 
Nimegundua njia nyengine ni kupakua games,muda niliokuwa nashinda Inst nikitafuta followers kwa Inst account zangu tatu nikaamua ni save data kwa style hii
 
Mkuu airtel mtandao wa kisenge sana sijui wanazani hizi hela tunaziokota bora voda japo vifurushi vyao vinafanana ila mb haziishi haraka we hata cha buku jero mkuu utakuja kunishukuru.
 
Sikuhizi mimi napokea sms ya umetumia 100% ya kifurushi chako..mchezo unaishia hapo..yani imekua hovyo kwakweli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…