Airtel nimewavulia kofia

Airtel nimewavulia kofia

HIZO SMS ZINATUMWA KIMAKOSA. MIMI NINA GB 11 LAKINI WANANITUMIA SMS HIYO KILA SIKU. ULIZA SALIO UTAJUA UKWELI
 
unadhani kama ni hivyo kwanini wanatuma, wanafanya makusudi ili ununue bundle lingine usipostuka
 
Utakuta system yako ina update ya gb 4.. na vi gb vyako viwili + plus speed kubwa haichukui round
 
Mkuu nilipo speed ni 3G so hata kama kuna system update haiwezi kula GB2 kwa dakika 8
 
Back
Top Bottom