arbostar09
New Member
- Sep 28, 2014
- 4
- 1
Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kampuni zote za simu, wanayo hiyo hudumaNatumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Unlimited ni 70k kwa 10mbs na 110k kwa 30mbs.Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Hii inapatikanaje jamnView attachment 2925920
Sme za Airtel equivalent ya postpaid tigo
Halotel ipo unakua unajiunga mwenyewe kutokana na matumizi yako. Speed imeboreshwa maana ni laini ya internet tu.Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Karibu!Hii inapatikanaje jamn