Airtel rekebisheni haraka hii changamoto ya vifurushi vya SMS

Airtel rekebisheni haraka hii changamoto ya vifurushi vya SMS

Tupe nyamanyama za kutosha inakuwaje hiyo kitu?
Huu ni mfumo unaokuwezesha Kutuma sms nyingi Kwa pamoja Ikiwa na sender ID yako. Mfano Unaweza kuwa na sender ID ya SKULL WEDDING, AU SKULL COMPANY etc Unaweza kuweka tu elfu Tano ukatuma hata sms laki Moja Kwa wakati mmoja. Zinawafaa zaidi wafanyabiasha ndio maana wengine huziita marketing SMS
 
Halotel sikushauri, hawakuruhusu utume SMS ya aina moja kwenye namba tofauti.
Wanasema kama unataka hiyo huduma wanayo inaitwa BULK SMS ni ya kulipia.
Bora VodaCom, Tigo na Zantel huko
Kuna bulk SMS ya Ghana Ile Iko poa sana ukiweka tu elfu Tano unatuma hata sms laki Moja Kwa wakati mmoja
 
Airtel ina tabia ya kukata sauti kwenye call. Unakuwa unaongea ghafla mnaacha kusikilizana mnakaa sekunde hata 10 ndio sauti inarudi kusikika. Na wakati unapiga kuna muda inaacha kutoa mlio wa kuita, na kuna muda ukipiga ikiwa inaita unasikia mikwaruzo kama vyuma vinasuguana. Mtandao mbovu huo
 
Na wanafanya Bombing Yani ukituma sms 1 zinaenda tatu kwa mlengwa wanajiona wajanja wenyewe.
Wana kaushoga Fulani hivi.
 
Back
Top Bottom