Airtel ina tabia ya kukata sauti kwenye call. Unakuwa unaongea ghafla mnaacha kusikilizana mnakaa sekunde hata 10 ndio sauti inarudi kusikika. Na wakati unapiga kuna muda inaacha kutoa mlio wa kuita, na kuna muda ukipiga ikiwa inaita unasikia mikwaruzo kama vyuma vinasuguana. Mtandao mbovu huo