Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kuereweka ndo nini ,mwenyekiti wetu hajui kiswahili hata wanachama pia hamjuiKikubwa ujumbe umeereweka. Hayo mengine hayana maana yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuereweka ndo nini ,mwenyekiti wetu hajui kiswahili hata wanachama pia hamjuiKikubwa ujumbe umeereweka. Hayo mengine hayana maana yoyote
View attachment 1575801
Wanasema bando yako. Jamani watalam wa Kiswahili . Je ni sahihi kusema bando yako? Mimi nafikiri sahihi ni kusema Bando lako.
Inawezekana wameajiri wakenya
Kwakuwa mwenyewe hujui kiswahili ndo maana unakazia maarifa namna hii..Kikubwa ujumbe umeereweka. Hayo mengine hayana maana yoyote
| ||||
ujumbe umeereweka.
Faiza ukuje huku. Watu wanavuruga lugha yetu. Kikubwa Ujumbe umeeleweka.
Bado bando(bundle)siyo kiswahili sanifu.View attachment 1575801
Wanasema bando yako. Jamani watalam wa Kiswahili . Je ni sahihi kusema bando yako? Mimi nafikiri sahihi ni kusema Bando lako.
Neno limeshatoholewa na ndio maana haliandikwi bundle bali bandoKiswahili hakuna bundle, ni kifurushi
Lahaula .. embu soma comment za wadau wengine ugundue shida ilipo ...Sasa kama Wewe unajua kuwa Kiswahili hicho cha Bando kimekosewa na unajua kinavyoitwa Kiusahihi wake kwanini hujakisema hapa? Umetuboa!
Wapo sawa mbona
Kwan bundle ni kiswahili?Bando yako??
Ndo ❌ Ndio ✔Kwakuwa mwenyewe hujui kiswahili ndo maana unakazia maarifa namna hii..
Imeereweka ndo mini..?
Ndio❌ Ndiyo✔Ndo ❌ Ndio ✔
Ndo mini ❌ Ndio nini ✔
Hata neno Muda hapo limekosewa wameandika Mda badala ya Muda.View attachment 1575801
Wanasema bando yako. Jamani watalam wa Kiswahili . Je ni sahihi kusema bando yako? Mimi nafikiri sahihi ni kusema Bando lako.
Hopeful watapa ujumbe then watarekebishaHata neno Muda hapo limekosewa wameandika Mda badala ya Muda.
Ndiyo nini[emoji777]Ndio[emoji777] Ndiyo[emoji818]
Ndio nini[emoji777] Ndiyo nini [emoji818]