Moja kwa Moja kwenye mada husikq
Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care
Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za kuchagua, nikachagua namba 2
Hapo ndio kisanga kikaanza Kila nikibonyeza 2 naambiwa wameshindwa kutambua chaguo la huduma niiliyohitaji
Nikajaribu kama mara 4 majibu ni hayo hayo kushindwa kujua chaguo la huduma niiliyohitaji
Kwa ushauri tu
Waweke menu ya huduma zote ukisha piga namba 100 sio kusumbua wateja
Kwa kifupi Hadi sasa sijawezq kuongea na mtoa huduma kama ipo njia nyingine naomba wadau mniambie nifanyaje
Inasikitisha kuona mtandao mkongwe na mkubwa alafu wanatoa huduma mbovu
Mrejesho:
Jambo langu limetatuliwa kupitia Whatsapp,
Thread closed