AIRTEL TANZANIA nyie ni wapuuzi!!.

AIRTEL TANZANIA nyie ni wapuuzi!!.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Narudia tena airtel TANZANIA nyie ni wapuuzi na mnafaa kupigwa vita kwa ujinga mnaotufanyia wateja wenu!!..
Haiwezekani hela yangu mateso mnipe nyie mafala, na mnanitumia sms nipige huduma kwa wateja namba 100 halafu mnanidirect robot lenye sauti hata beki 3 wangu ana sauti nzuri!!.. Napiga namba 100 bado sipati msaada mna uhakika gani nilipo ni karibu na vibanda vyenu vya huduma kwa wajinga!..
Jirekebisheni wapuuzi nyie na nikipata hela yangu navunja line yenu!...Haiwezekani mshindwe kuwa na huduma kwa wateja wa kuongea nae!.
NB: magufuli bora avunje hili limtandao lirudi serikalini tu pumbavu!.
------***-----UPDATE------***----
Nilipopiga 100 na kuzunguka humo sikiliza maelezo yao nikapata sms inasema
"ANGALIZO! Usitoe taarifa zako za Airtel Money kwa namba usiyoifahamu. Namba hii 0784105505 pekee ndio itakayotumika kukupigia kuhusu huduma za Airtel."
sasa upuuzi ukiipiga hiyo namba maelezo yao ni sawa na ukipiga namba 100 sasa sijui wanalinda vipi kumpotezea mteja muda wake wa maongezi kusikiliza aina moja ya maneno!!..
 
Mbona kama unaongozwa na mihemko..!
Kun muda unakua na umuhimu mkubwa sana na hela ili kufanikisha mambo yako then ukitaka toa unaambiwa account imefungwa piga 100, ukipiga 100 hauwezi kuongea na wao badala yake lisauti baya!.. furastuasheni lazima mkuu
 
Nenda pale mtaa wa Morocco kuna makao makuu yao nenda uwachane huko.
 
Mkuu hii mitandao yetu ya kibongo yote ni pasua kichwa
Sema kuna mengine imezidi tu
Me nilijua huduma ya internet tu ndio mbovu kwao kumbe hadi hawana huduma ya kuongea na muhudumu!..
 
Nenda pale mtaa wa Morocco kuna makao makuu yao nenda uwachane huko.
Mkuu nipo nje ya mji banda pekee nilopata ni airtel money hela yote nimeipeleka kure ili niweze kutoa nakuta haiwezekani kisa nimekosea password basi wanisaidie reset hakuna njia ya kuweza ongea na muhudumu kweli 21th century kuna wapuuzi na wajinga kama hawa!!!...
 
KWELI airtel costumer service hawana msaada kwa chochote kwa wateja wao,,,
 
Air tel naombeni musaidie huyu boda boda anayefanya kazi kwa shida alafu nyie mmeiba pesa yake kwenye account .
Anakuja kufuatilia mnasema eti asubiri atasubiri mpaka lini ? laini mmefunga nyie pesa mmeiba alafua asubiri this is non sense.
wewe umekaa kwenyeAC mwenzako anakwepa malori ana kesha ana dunduliza vijicent alafu un swap line na kuiba ela yake eti hajasajiliwa mimni sisi wengine tulikuwa hatuja sajiliwa na baada ya usajili tulkirudishiwa namba zetu na miamala yetu ilikuwa haina tatizo.


naomba namba ya uongozi wa airtel ntakapo fikisha barua yangu ya malalamiko au vinginevyo ntaandika barua TCRA kwa ajili ya kumtetea mwanaboda boada huyu wewe dada uayejiita vero hapo customer care airtel moroco take care malalamiko nakuja kwako hufanyii kaziii...
 
Tigo juzi wameiba vocha ya jamaa wakamuambia alikopa. Akapiga simu huduma kwa wateja. Akauliza muhudumu akasema ni kweli alikopa lakini system haiwezi kutambua alikopa lini.
 
Back
Top Bottom