Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Narudia tena airtel TANZANIA nyie ni wapuuzi na mnafaa kupigwa vita kwa ujinga mnaotufanyia wateja wenu!!..
Haiwezekani hela yangu mateso mnipe nyie mafala, na mnanitumia sms nipige huduma kwa wateja namba 100 halafu mnanidirect robot lenye sauti hata beki 3 wangu ana sauti nzuri!!.. Napiga namba 100 bado sipati msaada mna uhakika gani nilipo ni karibu na vibanda vyenu vya huduma kwa wajinga!..
Jirekebisheni wapuuzi nyie na nikipata hela yangu navunja line yenu!...Haiwezekani mshindwe kuwa na huduma kwa wateja wa kuongea nae!.
NB: magufuli bora avunje hili limtandao lirudi serikalini tu pumbavu!.
------***-----UPDATE------***----
Nilipopiga 100 na kuzunguka humo sikiliza maelezo yao nikapata sms inasema
"ANGALIZO! Usitoe taarifa zako za Airtel Money kwa namba usiyoifahamu. Namba hii 0784105505 pekee ndio itakayotumika kukupigia kuhusu huduma za Airtel."
sasa upuuzi ukiipiga hiyo namba maelezo yao ni sawa na ukipiga namba 100 sasa sijui wanalinda vipi kumpotezea mteja muda wake wa maongezi kusikiliza aina moja ya maneno!!..