Mbona hamjatoa support kwa dogoWasiliana na Kiba amsimamie dogo huyu, yupo vizuri sana anakosa kiki tu...
Ameonyesha ubunifu mkubwa mno kwa upande wangu.. Coz hiko kibwagizo huwa kinapigwa na high tenor kama hujui kuimba utaishia kukohoa tuhhhh hiyo ndo sababu ilivutia waxing wengi.. Na vilevile ni nyimbo ambayo inabeba icon ya Africa so in short ametuwakilisha vema Sana....Hicho kubwagizo alichoanza nacho ni tune ya wimbo wa 'the lion sleeps tonight',wenye asili ya afrika kusini ulioitwa 'mbube' kwa kizulu na kutungwa na solomon linda mwaka 1939. Baada ya hapo wimbo huu uliimbwa na wasanii wengine mbalimbali duniani.
Kwa hiyo Mayunga hajaonesha originality yoyote.
Hata mimi nimeona kama mtu mmoja tu kaimba ila kasong kameenda shuleMimi kwenye huu wimbo nampongeza sana Akon kwa kweli ni track nzuri, pili sijajua mayunga kaimba verse ya ngapi na akon verse ya ngapi maana naona sauti zinafanana