AIRTEL TRACE MUSIC STAR: Mayunga atoa wimbo wake na Akon - Please don't go away

AIRTEL TRACE MUSIC STAR: Mayunga atoa wimbo wake na Akon - Please don't go away

Dogo ni mult-talented aiseeee dogo ametulia kaimba vizuri yani hakuna tofauti radha yake na mnyamwezi Akon....tia kambani kama hizi tatu dogo lazima utakuwa mbongo wa kwanza kusumbua state
 
Hicho kubwagizo alichoanza nacho ni tune ya wimbo wa 'the lion sleeps tonight',wenye asili ya afrika kusini ulioitwa 'mbube' kwa kizulu na kutungwa na solomon linda mwaka 1939. Baada ya hapo wimbo huu uliimbwa na wasanii wengine mbalimbali duniani.
Kwa hiyo Mayunga hajaonesha originality yoyote.
Ameonyesha ubunifu mkubwa mno kwa upande wangu.. Coz hiko kibwagizo huwa kinapigwa na high tenor kama hujui kuimba utaishia kukohoa tuhhhh hiyo ndo sababu ilivutia waxing wengi.. Na vilevile ni nyimbo ambayo inabeba icon ya Africa so in short ametuwakilisha vema Sana....

Bigupp to him aisee
 
Mimi kwenye huu wimbo nampongeza sana Akon kwa kweli ni track nzuri, pili sijajua mayunga kaimba verse ya ngapi na akon verse ya ngapi maana naona sauti zinafanana


Hata mimi nimeona kama mtu mmoja tu kaimba ila kasong kameenda shule
 
Back
Top Bottom