Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
Bei ya vifurushi Airtel imepanda, 25MB=1500, 150MB Sikumbuki, ila 1GB 15000 2GB........huko hakushikiki! Kisa mtandao wao una kasi, Kwa ujumla vifurushi havinunuliki jana nimejaribu kununua kifurushi 25mb kabla hata sijafumba macho kimekwisha
Nhoja nikapekuwe kwenye makabrasha moderm langu la sasatell nifufue
Acha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
Kuna tofauti kati ya surfing bundle ya mb 400 na data bundle zinazoanzia 25mb. huoni hiyo ya 400mb hawaitangazi hata kidogo!!!!!Acha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
Hii kitu nilikuwa naitumia kwa wiki nzima lakini jana nimeweka imeisha leo na hapa niweka nyingine muda mchache uliopita isipomaliza siku tatu nahamia Zantel nimeskia wameshusha. Ujanja ni kuwa na Modem za kila mtandao ili hawa jamaa wasikubabaishe.Acha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
sure..........kama wewe ni mutu ya hovyohovyo huwezi pata!!\mbona hiyo inakataa au inategemeana na mtu nini mbona kwangu inakataa wewe ulijiunga lini? na hiyo service.
kifurushi cha 400mb ni kwaajili ya simu. wamekifanyia marekebisho na kimekuwa sloooow sana kama utatumia computer.Acha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
Hamia Voda mkuu wameshusha baada ya kuwadodea
sure..........kama wewe ni mutu ya hovyohovyo huwezi pata!!\
hahahahahaaaa!!!:eek2:
Hizo data bundles za airtel ni valid kwa muda gani?
Nimenunu 1gb kwa 15000 iko slow!!!!! Ile ya 400mb imefungwa haipo!!!!! Cheap ni tigo buku tisA, najiunga mwezi ujao!!!!!!!
Jamani , hii ya 400 mb mbona bado iko...mimi nimeweka asubuhi hii na ndio anitumia , na nimeconnect kwa computer, speed yake inaridhisha pia
kwani utaratibu wa voda ukoje?Hamia Voda mkuu wameshusha baada ya kuwadodea
hivi nahilo tangazo la airtel hapo juu nilakwelig'Bei ya vifurushi Airtel imepanda, 25MB=1500, 150MB Sikumbuki, ila 1GB 15000 2GB........huko hakushikiki! Kisa mtandao wao una kasi, Kwa ujumla vifurushi havinunuliki jana nimejaribu kununua kifurushi 25mb kabla hata sijafumba macho kimekwisha
Nhoja nikapekuwe kwenye makabrasha moderm langu la sasatell nifufue