Airtel wamepandisha bei ya Vifurushi

Airtel wamepandisha bei ya Vifurushi

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,151
Bei ya vifurushi Airtel imepanda, 25MB=1500, 150MB Sikumbuki, ila 1GB 15000 2GB........huko hakushikiki! Kisa mtandao wao una kasi, Kwa ujumla vifurushi havinunuliki jana nimejaribu kununua kifurushi 25mb kabla hata sijafumba macho kimekwisha
Nhoja nikapekuwe kwenye makabrasha moderm langu la sasatell nifufue
 
Hamia Voda mkuu wameshusha baada ya kuwadodea
 
Hakuna shida hata ikipanda mpaka 1MB kwa 100,000/= sitting allowance mjengoni si ipo tutaipandisha tena.
 
Acha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
 
mbona hiyo inakataa au inategemeana na mtu nini mbona kwangu inakataa wewe ulijiunga lini? na hiyo service.
 
Kuna tofauti kati ya surfing bundle ya mb 400 na data bundle zinazoanzia 25mb. huoni hiyo ya 400mb hawaitangazi hata kidogo!!!!!
 
Acha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
Hii kitu nilikuwa naitumia kwa wiki nzima lakini jana nimeweka imeisha leo na hapa niweka nyingine muda mchache uliopita isipomaliza siku tatu nahamia Zantel nimeskia wameshusha. Ujanja ni kuwa na Modem za kila mtandao ili hawa jamaa wasikubabaishe.
 
mbona hiyo inakataa au inategemeana na mtu nini mbona kwangu inakataa wewe ulijiunga lini? na hiyo service.
sure..........kama wewe ni mutu ya hovyohovyo huwezi pata!!\
hahahahahaaaa!!!:eek2:
 
Acha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
kifurushi cha 400mb ni kwaajili ya simu. wamekifanyia marekebisho na kimekuwa sloooow sana kama utatumia computer.
vodacom wao do useless kabisa kwao ukinunua kifurushi halafu ukakimaliza kabla ya mda kuisha huwezi nunua tena. utakumbana na sms ya aina hii
Tayari umeshajiunga na vodacom Internet.
Tafadhali unaweza kununua baada ya muda wa kujiunga kuisha.

sasa sms za namna hii ndizo zinazotufanya turudi tena airtel (400mb slow connection)
 
Hizo data bundles za airtel ni valid kwa muda gani?
 
Nimenunu 1gb kwa 15000 iko slow!!!!! Ile ya 400mb imefungwa haipo!!!!! Cheap ni tigo buku tisA, najiunga mwezi ujao!!!!!!!
 
Tigo ilo very slow hujapata kuona! jaribu Sasa tel sh 7500 kwa week speed inaridhisha
 
Nimenunu 1gb kwa 15000 iko slow!!!!! Ile ya 400mb imefungwa haipo!!!!! Cheap ni tigo buku tisA, najiunga mwezi ujao!!!!!!!

Jamani , hii ya 400 mb mbona bado iko...mimi nimeweka asubuhi hii na ndio anitumia , na nimeconnect kwa computer, speed yake inaridhisha pia
 
hivi me wananipendelea au vipi mbona tangu jana ahadi leo natumia 450 ya tigo bado inadunda na hapa naiacha nikalale,achana na cjui 400 MB cjui 250MB..dial*148*01# then nunua tgo internet then chagua light day> chagua 1 aka siku then confirm...u good to go

wish u lucky
 
Bei ya vifurushi Airtel imepanda, 25MB=1500, 150MB Sikumbuki, ila 1GB 15000 2GB........huko hakushikiki! Kisa mtandao wao una kasi, Kwa ujumla vifurushi havinunuliki jana nimejaribu kununua kifurushi 25mb kabla hata sijafumba macho kimekwisha
Nhoja nikapekuwe kwenye makabrasha moderm langu la sasatell nifufue
hivi nahilo tangazo la airtel hapo juu nilakwelig'
yaani ukinunua moderm 30000 unapata free intnt kwa muda wa miezi 6?
Nilitaka nijue ili niwahi nikanunue kabla promotion haijaisha nijuzeni wajameni
 
Back
Top Bottom