Airtel wanazingua sana

Airtel wanazingua sana

Selemani Sele

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
319
Reaction score
711
Jana dakika zangu za wiki zilikuwa ndo zinaishia meseji ikaingia kwamba kifurushi kitajinunua chenyewe wakati sio makubaliano yetu tabia ya hovyo. nitawapeleka mahakamani
Screenshot_2024-08-03-16-45-04-743_com.google.android.apps.messaging.jpg
 
Sijakuelewa. Wamekukata kiasi gani?. Hapo naona 1500? Ndio ilikuwa ya kulipa deni?. N unamaanisha utawapeleka mahakamani au sijaelewa
Yaani bando bei yake ni 1500 ila mtu anajiunga bando kutokana na matakwa yake hapo imereenew automatically bila ridhaa yangu
 
Yaani bando bei yake ni 1500 ila mtu anajiunga bando kutokana na matakwa yake hapo imereenew automatically bila ridhaa yangu
Ok sawa. Kwa imerenew imetoa wapi hela ya kurenew?. Imetoa kwenye airtel money au wapi boss?. Hii mitandao ni wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom