Airtel wapandisha vifurushi vya internet

Airtel wapandisha vifurushi vya internet

Hakuna waziri anayevutia wawekezaji kupata faida kwenye biashara ya DATA kama Nape nnauye, kijana anapiga kazi aiseeee

Nimeamka nakuta kifurushi cha 1500 nilichokuwa naapata gb1 kwa sasa ni mb 850, hapo ukilalamika utasikia Nape anasema TCRA fatilia hao, utasikia mnalalamika nini wakati Tanzania ni ya 6 afrika kwa kuwa na bei nafuu ya bando na ya 3 kwa speed kali?

Utasikia angalieni simu zenu kuna apps zina run backgrounds zinakula data.
Nawe tafuta any mean ya kupita nao
 
Back
Top Bottom