Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,263 Reaction score 18,201 Oct 4, 2022 #21 John7371 said: Hawa actors hasa hasa watu wa idara ya sheria wakiwa targeted na uhujumu uchumi, hutozisikia tena. Hii case zinaharibu sura ya uwekezaji Tanzania. Click to expand... Kwa hiyo watumie sauti za watu bila makubaliano, wakaliwe kimya kwa kigezo cha kuharibu sura ya uwekezaji
John7371 said: Hawa actors hasa hasa watu wa idara ya sheria wakiwa targeted na uhujumu uchumi, hutozisikia tena. Hii case zinaharibu sura ya uwekezaji Tanzania. Click to expand... Kwa hiyo watumie sauti za watu bila makubaliano, wakaliwe kimya kwa kigezo cha kuharibu sura ya uwekezaji
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,796 Reaction score 2,367 Oct 4, 2022 #22 njaa zinapigaa Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
J John7371 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2018 Posts 2,994 Reaction score 6,676 Oct 4, 2022 #23 Dream Queen said: Kwa hiyo watumie sauti za watu bila makubaliano, wakaliwe kimya kwa kigezo cha kuharibu sura ya uwekezaji Click to expand... Kaa na wanaojua haya mambo yanafanywaje ndo utajifunza usiyoyajua. Juzi Mwanasheria Mkuu wa Serikali alivyosema ata-deal na watu ndani ya taasisi za serikali wanaozalisha kesi ulifikiri anakurupuka? Hawa wanaozizalisha makusudi ni lazima wawe targeted.
Dream Queen said: Kwa hiyo watumie sauti za watu bila makubaliano, wakaliwe kimya kwa kigezo cha kuharibu sura ya uwekezaji Click to expand... Kaa na wanaojua haya mambo yanafanywaje ndo utajifunza usiyoyajua. Juzi Mwanasheria Mkuu wa Serikali alivyosema ata-deal na watu ndani ya taasisi za serikali wanaozalisha kesi ulifikiri anakurupuka? Hawa wanaozizalisha makusudi ni lazima wawe targeted.
Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,669 Reaction score 8,268 Oct 5, 2022 #24 Sasa Ofisa ana mamlaka ya kuingia mkataba[emoji1] Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa Ofisa ana mamlaka ya kuingia mkataba[emoji1] Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 6, 2022 #25 Ni Bonge la collabo sikia sikia Michano.