Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kwa hiyo watumie sauti za watu bila makubaliano, wakaliwe kimya kwa kigezo cha kuharibu sura ya uwekezajiHawa actors hasa hasa watu wa idara ya sheria wakiwa targeted na uhujumu uchumi, hutozisikia tena. Hii case zinaharibu sura ya uwekezaji Tanzania.