airtel yatosha yaprove wrong

man4rmheaven

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
6
Reaction score
1
kwa wale 2lojichek through airtel about selection za tcu ni uongo maana most of us 2liona 2mechaguliwa katika 1st choice zetu, tatizo ni kwamba kuna mshikaj kachaguliwa DUCE(airtel) vilevile jina lake lipo university of arusha so which z which..??msaada wenu wakuu
 

c kwel
 
uongo,mie mbona kuna mtu aliona amechaguliwa jordan university kupitia airtel na majina yametoka kapangiwa hapo na course ile ile na alikua kaichagua ikiwa fourth selection.
 

haina mashiko hoja yako! Coz co kweli most wetu wamechaguliwa 1st choice, watu kibao wamechaguliwa choice ya pili na kuendelea, pia kuna zaidi ya watu kumi kutoka vyuo mbali vilivyokwishwa toa majina wameprove majina yao yapo tena course ile ile kama walivyoona kupitiaa Airtel yatoshaaaaa!
 
Kwani wewe umepngwa wapi?? Usije kuta unasema ivo kwa sababu hujapenda ulipopangwa??? Na kama walikosea kwa nini tcu wasiseme kwamba sio?? Rizika na ulipopangwa!!
 
ACHENI HIZO JAMAN AIRTEL wamefanya kweli mbona hata mm nilicheki thru airtel na ndo hivyohivyo nilivyokuta kwaiyo jamaa wako sahihi 🙂
 
Nina waswas na akili yako!!Nashindwa kukuelewa ktk hili kwan airtel ndio wanapanga hzo post??Km umetumwa na wez wengne like voda na wazee wa no service/connection error tigo rud kajipange upya!!
 
hunaga jipya! umepangwa chuo usichokipenda nn? kuna mtu aliangalia through yatosha kapata arusha na yalivyotoka majina kaona hapo pia!
 

Si kweli,wengine wengi wamepangwa machaguo mengine hata ya tano.Ila kama unabisha ANDAMANA.
 
Huwezi kuwa sahihi hata kidogo kama umepingiwa chuo kibaya kwa airtel ya tosha usitegemee kama kitabadilika ndo hicho hicho chako tuuu usikikatae
 
ckwel bandugu, nimechek jamaa zangu sita kweye airtel na imekuja hvhv, wewe subir labda voda wanaweza kuwaiga airtel, AIRTEL YATOSHA TCU YA NN?
 
Yatoshaaaaa!Haidaganyi kama umepagwa ucpo papenda vumilia lakn hayabadilik.
 
Jaman mi hadi leo sijaelewa kama vyuo nilivyochagua vimetoa majina au laa!
Nilichagua hiv
1. UDOM
2. MWUCE
3. SMMCO
4. TEKU

Kati ya hivyo kipo kilichotoa? Kama kipo nayapataje majina yaliyotolewa waungwana?
 

Watoto saa zingine kuwaelewa kazi! Haya mziwanda wangu unataka nini mwanangu sema tu mama!
 
Jaman mi hadi leo sijaelewa kama vyuo nilivyochagua vimetoa majina au laa!
Nilichagua hiv
1. UDOM
2. MWUCE
3. SMMCO
4. TEKU

Kati ya hivyo kipo kilichotoa? Kama kipo nayapataje majina yaliyotolewa waungwana?

bado mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…