airtel yatosha yaprove wrong

airtel yatosha yaprove wrong

Unawadanganya madogo zako ee!mi niliangalia kuptia yatosha then siku hyohyo nikatumiwa sms wakati lilikuwa chaguo la tatu na chuo. pia rafk yangu nilimuangalizia yatosha nikakuta( )na badae jna lake lkatoka 3rd applcants.pia jamaa mwingine yatosha ilimuonesha jordan then jna lmetoka kajkuta.UNATWAMBIA NINI!!!
 
Airtel ya tosha
mimi niliangalia nikaona jordan university college(Baed) na yalipotoka majina nikaliona jina langu wakati nilikuwa nimeweka choice ya 5 na cutpoint zangu zilikua za kutosha 2.!
 
kwa wale 2lojichek through airtel about selection za tcu ni uongo maana most of us 2liona 2mechaguliwa katika 1st choice zetu, tatizo ni kwamba kuna mshikaj kachaguliwa DUCE(airtel) vilevile jina lake lipo university of arusha so which z which..??msaada wenu wakuu
kipi cha kushangaza ssa,,mbona multiple selectio zpo sana 2,,ni kwa sababu ya kutojipanga kwa Tcu,,,,mbna wa2 kbao 2 mwaka jana 2mepata multiple selection,,tena kuna majamaa zangu wawl walpangiwa vyuo vi3,,Udsm,Udom na Sua
 
Haya sasa.niljiangalia yatosha na leo AMUCTA wametoa mjna nikakuta jna langu na kozi ileile!
 
Jaman mi hadi leo sijaelewa kama vyuo nilivyochagua vimetoa majina au laa!
Nilichagua hiv
1. UDOM
2. MWUCE
3. SMMCO
4. TEKU

Kati ya hivyo kipo kilichotoa? Kama kipo nayapataje majina yaliyotolewa waungwana?

angalia TEKU WAMESHATOA LEO
 
Back
Top Bottom