Ile zaidi ya sana...Mabinti au maswahaba safi waliolindwa ndani ya mahema au mboga wenye umri sawa na walioumbwa upya na bikra zao. Patamu hapo kila shahidi atajinyakulia mabinti vigori bila kujali idadi
Vinywaji vya peponi mvinyo isiyolewesha na kukufanya upoteze fahamu.
Hakika waisalamu mtainjoi sana huko akhera😁
Hiyo nzuri vipi kuhusu harusi na hakuna kula wala kunywa? Hii ni harusi au msiba?Kitimoto vilevile inaruhusiwa lakini kwa dharura/njaa kali na kwakiasi kidogo ili kuoka maisha.
Al-battu biduuna khamrin mujarradu buruufah 😂Huur-al-Ayn
Hawa jamaa na hilo tendo ni Pete na kidoleMabinti au maswahaba safi waliolindwa ndani ya mahema au mboga wenye umri sawa na walioumbwa upya na bikra zao. Patamu hapo kila shahidi atajinyakulia mabinti vigori bila kujali idadi
Vinywaji vya peponi mvinyo isiyolewesha na kukufanya upoteze fahamu.
Hakika waisalamu mtainjoi sana huko akhera😁