Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Jana Nilikuwa University Moja hapa Nchini, Nilikuwa darasa moja nikifundisha Software Moja hivi (Master Series).. Kama kawaida ilikuwa lecture ya masaa mawili tu..
Kwa kuwa nilikuwa na Appointment moja ya muhimu Maeneo ya Msasani Niliondoka Mapema tu baada ya Kipindi kwisha..
Ile natoka nje nakutana na kundi la wanafunzi wakifanya kampeni nadhani zilikuwa za kuchagua viongozi wao wa chuo nilivutiwa kidogo na zile shamra shamra kwa sababu ni muda sasa nimezimiss.. Ee bwana wee.. Mgombea alikuwa Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza..
Bwana mdogo huyu alikuwa anawaahidi wenzake Elimu Bure😂 ..Aisee Nilicheka na pia nikafurahi!
Hata na Hivyo Wenzake walimshangilia sana kwa sera yake ya Elimu bure ngazi ya chuo.. Maisha Yanaenda Kasi sana!