Aisee BLACK IS BEAUTY asikudanganye mtu

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,885
Kinadada wengi wamekua wepesi kudanganyika na hata kupuuza rangi zao za asili, kitu ambacho kimefanya wengi ku bleach ngozi zao na kuishia kuziaribu kabisa

Embu tazama thamani na uzuri uliyositirika ndani ya ngozi nyeusi, ona jinsi ukikubali maisha matamu unavyovutia, ona ngozi nyeusi inavyoeleza uzuri wake, ona inavyopendeza kwenye fashion yaani simply amizing.

Ona jinsi rangi nyeusi inavyovyutia na kuheshimika kwa kuitazama tu

Kina dada muache kuji bleach and let nature take its course, unakuta mdada anaumbo zuri msomi lakini keshajiparua ngozi tena daah acheni bhana mbna mko poa na rangi zenu za asili tu.
 
Tatizo mawigi. Wangeacha hizo nywele za kihindi na katani iliyowekwa rangi basi wangependeza zaidi
 
We umejuaje kama hawa ulioweka picture hapa walikua hivyo utotoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…