Aisee BLACK IS BEAUTY asikudanganye mtu

Aisee BLACK IS BEAUTY asikudanganye mtu

Kinadada wengi wamekua wepesi kudanganyika na hata kupuuza rangi zao za asili, kitu ambacho kimefanya wengi ku bleach ngozi zao na kuishia kuziaribu kabisa

Embu tazama thamani na uzuri uliyositirika ndani ya ngozi nyeusi, ona jinsi ukikubali maisha matamu unavyovutia, ona ngozi nyeusi inavyoeleza uzuri wake, ona inavyopendeza kwenye fashion yaani simply amizing.View attachment 394775View attachment 394776View attachment 394777View attachment 394778View attachment 394779View attachment 394780View attachment 394781View attachment 394782View attachment 394783View attachment 394784View attachment 394785View attachment 394786View attachment 394788

Ona jinsi rangi nyeusi inavyovyutia na kuheshimika kwa kuitazama tu

Kina dada muache kuji bleach and let nature take its course, unakuta mdada anaumbo zuri msomi lakini keshajiparua ngozi tena daah acheni bhana mbna mko poa na rangi zenu za asili tu.
hizi rangi za kuongezea km huyu wa mwisho mmmh
 
0052-Sudan-2004-Darfur.jpg
newserifcampnyaladarfurwoman.jpg
Sudan.jpg
tumblr_o47cfsnjhY1vovk39o1_r1_1280.jpg
tumblr_o47cfsnjhY1vovk39o1_r1_1280.jpg
 
!
!
Ntajaribu ila sasa daaah Asali naingia nayo vipi bafuni? wife namwambiaje kwa mfano
Tafuta kikopo.....weka asali changanya na ndimu kabisa afu unaingia nacho bila wife kujua......

We mwanaume bwana hauwezi kukosa mbinu ya kuingia nayo bila wife kujua.

Afu akikukuta nayo si unamwambia leo natumia asali kwenye kuoga......hawezi shangaa na wala kukufikilia vibaya.....mana hili tunalijua wachache.
 
Nitajaribu halafu ntaleta mrejesho
 
[emoji24][emoji24][emoji24]Mwenye ako na cream za weusi aniuzie jamani...i wish i was black dah...
 
Back
Top Bottom