Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Watu walilipia elfu25 kuona makalio.
Dah usikute ruge kashamharibu! Maana nasikia ndo kamchezo kao clouds!
Ohoo, we kama huamini shauri yako. Ebu cheki kichogo cha uyo jamaa wa kwanza kushoto aliyebong'oa!Jamani naomba kuthibitishiwa; diamond yupo kati ya hao?Au labda ni wachezaji wake hao? Either way, im strugling to believe wat i see, let alone whther this is diamonds brainchild!
yesu na maria!
Na Yosefu..
Aisee Diamond mbona sasa unaanza kubong'oa!
Staili zingine za shoo huwaga zinatisha.
na matibabu yake lazima yawe ya haraka!