Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

Dah usikute ruge kashamharibu! Maana nasikia ndo kamchezo kao clouds!
 
mwache awape uhondo kwan c msanii yeye au mmesahau kazi yake
 
Jamani naomba kuthibitishiwa; diamond yupo kati ya hao?Au labda ni wachezaji wake hao? Either way, i‘m strugling to believe wat i see, let alone whther this is diamond‘s brainchild!
 
Jamani naomba kuthibitishiwa; diamond yupo kati ya hao?Au labda ni wachezaji wake hao? Either way, i‘m strugling to believe wat i see, let alone whther this is diamond‘s brainchild!
Ohoo, we kama huamini shauri yako. Ebu cheki kichogo cha uyo jamaa wa kwanza kushoto aliyebong'oa!
 
aiseee, yaani ana skin tight, chupi 1, 2, 3...........nimehsindwa kujizuia kuamini
 
Aisee Diamond mbona sasa unaanza kubong'oa!
Staili zingine za shoo huwaga zinatisha.

dddd.jpg

Mashaalaaaa, kijana Diamond napenda hilo jasho lako la m.ku.ndu...dah, uko wapi wewe? Tafadhali nibipu kabla Rick Ross hajakuchukua, nitafute hapa: bashalangu@nitakujamii.com
 
Sikujua kama kuonesha makalio nacho ni kipaji.
Mjini huwezi kufa njaa au unasemaje diamond
 
watanzania wa hali ya chini kama alivyokuwa Diamond akipata cash kidogo tu na akawa popular lazima awe kichaa maana umasikini wa akili uliishatulemea
 
Back
Top Bottom