Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

That is what they call innovation by our standards
 
Mimi nashangaa tu mmejuaje kuwa huyo anayeonekana katika picha ni 'diamond'! Ina maana mnayajua makalio yake kiasi hicho?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Hawa wasanii wetu wengine mashoga sasa mambo gani hayo mi ndo maana hata suwafagilii kabisaa
 
huyu dogo sasa sifa zimemzidi kipimo.. ndo nini hiki? na siku hizi amekuwa na katabia ka kuonyesha onyesha maungo yake
 
Huyu aje Zanzibar halafua afanye hivyo aone.
 
Kadondoshewa simu anataka kuiokota!(kama ilivo ktk maneno ya wimbo wa AT)
 
alipofanya hivyo afande sele walisema bangi!!!na hawa nao...

Bora hata Afande Sele hakugeuka nyuma wala kubong'oa...narudia swali lililoulizwa hapo juu...hii style ili iweje? anajaribu kutuambia nini?
 
Ahahahahaha hahahahah ahahaha haahahahahah aahahahahahah aahahahahaha
aahahaahaha hahahahahahah ahahahahhaah ahahahhahaha namba yake naomba
jamani ili nianze hata kuonja bwabwa Aibu kubwa
 
Anashindana na Wema kuonyesha izo mavitu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mmmmmmh haya sasa.............!
Wako sokoni hao .............!
Mtandao u - waziiiiiiiiiiii....!!!
 
Back
Top Bottom