Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Sure! embu share experience yako mkuuSiyo visu tu mkuu sema Kuna sime kabisa
veryinteresting..
Angelita mwenyewe ni mkuki siyo kisu[emoji12]interesting..
Ni attention tu aisee hawa wa dada wa huku usiwadharau bana. Jana kuna member famous mmoja mdada ID kapuni. Ki utani utani tu tukajikuta tumekutana jana.
Aisee ameumbika vibaya mno. Nnavopenda kuweka mambo hadharani nlitaka sahiv kuweka photo yake hapa ila nimeona sio vizur.
In fact hakuna baya lililotendeka la kulianzishia uzi. Ila jana ilikuwa scene numero uno. Labda scene za mbele ntakuja kuhadithia.
Finally, ni vizuri kuheshimiana aisee watu huku walivo ni tofauti na ID zao.
naunga mkono hoja!Bila kutaja ID yake haina maana
Sanavery
Bila kutaja ID yake haina maana
naunga mkono hoja!
Ili mfurike pm eehBila kutaja ID yake na kuweka picha hata mmi ningeweza kuanzisha thread kama yako
ndo wewe nini!!!??Ili mfurike pm eeh
Eti wewe pia ni kisu kikali dear?interesting..
Wacha nianze na wewe hadi nije nitoe ushuhuda hapa.Ili mfurike pm eeh