Sahani20
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 1,518
- 741
Madada i hope mmesikia fanyeni basi alosema mkuu hapa,inatokea mkuu.. unaweza kuwa kwenye mada fulani then ukatokea ukaribu fulani mpaka wa mawasiliano. japo usiishi kwa kutegemea mambo kama hayo.. hutokea yenyewe ila not always the case. nadhani umenielewa