Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu muulize hakikumkata?Hongera aisee kwa kukutana na kisu
Eti wewe mleta mada kisa hakikukata eti ?Hebu muulize hakikumkata?
Atakuwa alionana na Faiza foxyHongera aisee kwa kukutana na kisu
Safi sana aiseeAtakuwa alionana na Faiza foxy
Uchokozi mwingine buana!Atakuwa alionana na Faiza foxy
Nimetoa attention tu mkuu ndo mana sijamweka hadharani.Unamaanisha nn . kama mlikutana kwa siri yann kuutangazia uma.
Mbona hilo ni jina tu. Kuna ukoo unaitwa Mboro. Hapo si ndo utaandamana. hahahahaID ya mleta uzi ss duuuu
Nafikiria kuweka picha ila ID hapana. But picha ntaweka kuanzia shingoni. nimeongea nae kasema sawa.Bila kutaja ID yake haina maana
Hahahah bora umewajibu wewe. Na ngoja niweke picha hapa ili maandamano yaendelee.Ili mfurike pm eeh
Wewe wasema mkuu.. mwanamke kisu anaonekana bana.Sawa kwako kisu kwa wengine nadhani mavuno ya msimu
Hahahahaaa.. mkuu kunakostahili kwenda ukishakuwa na mtoto mzuri.. ila sijafanya jambo lolote. Haya mambo hayahitaji papara.Mkaenda wapi
Huu utaratibu wa picha mbona hau apply kwa thread nyingine? Muhusika hajakubaliana na hilo na sio vizur kuvunja matakwa ya mtu.Kama umeona siyo vizuri kuweka picha yake, hii stori umeweka ya nini?
Sawa mkuuNimetoa attention tu mkuu ndo mana sijamweka hadharani.
waambie na wewe kisu. unaogopa nini? unaogopa pm kulipukaMimi bisu butu