Aisee hata JF kuna mabinti visu

Aisee hata JF kuna mabinti visu

inatokea mkuu.. unaweza kuwa kwenye mada fulani then ukatokea ukaribu fulani mpaka wa mawasiliano. japo usiishi kwa kutegemea mambo kama hayo.. hutokea yenyewe ila not always the case. nadhani umenielewa
Madada i hope mmesikia fanyeni basi alosema mkuu hapa,
 
Mimi nimemkaza Dada mmoja hapa jf, nilimpata kwa PM tu, bayaaaaaaa! Kapigwa Pasi ya hatari, viguu kama mfukuza ndezi, ni mtu wa kaskazini meno yameoza! Ila kwavile ana mpunga na nilikuwa ninaugwadu nikajitoa mhanga. Bira lawama kuliko fedheha

Mbona wewe huelezi jinsi ulivyo tofauti na huyo mdada?! Au ndio nyani haoni kundule?
 
1fedf3ef7a0b4e5c3dbae38c3c196ed0.jpg
Hahaa
 
Back
Top Bottom