Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio alipofia. Kuna wakati waliuua watu wakatengeneza pyarmid ya miili yao kwa kutofautisha wanaume, wanawake na watoto. Walifanya hivi katika jamii nyingi hadi kupelekea kupungua kwa population ya watu. Waliwahi kuwafanya walio survive katika ukatili kuwa shield (human shield) yao katika vita.
Kwa upande mwingine, kuna wakati watimuridi waliweza kufanya mauaji ya watu 70,000 katika mji ulioitwa Isfahan. Kiongozi wa timuridi alikuwa hadi anatengeza minara mirefu ilijengwa kutoka kwa mafuvu ya adui zake. Kampeni za Watimurid zilisababisha vifo vya mamilioni ya watu kote Asia na Mashariki ya Kati. Waliwahi kuzika watu 4000 wakiwa hai.
Na haya nimegusia baadhi ya unyama wao.