na story ya kwamba njia nyingine aliyotumia kuongeza ufalme wake ni kwa kupitia mabinti zake alikuwa anawapeleka kuolewa na wafalme wa miliki nyingine kisha anamuua mfalme yule na mwanae anakuwa kiongoziNasikia kuna bonge la sanamu la gengis hapo mongolia
Yap ni kweli mkuuna story ya kwamba njia nyingine aliyotumia kuongeza ufalme wake ni kwa kupitia mabinti zake alikuwa anawapeleka kuolewa na wafalme wa miliki nyingine kisha anamuua mfalme yule na mwanae anakuwa kiongozi
Ilikuwa imeshakuwa dismantled kitambo sana ,ilikuwa ishavurugika sio tenna mongul ya kipind kileHistoria yao wa Mongolia ilifia pale misri, waliookutana na jeshi la ki Islam, la Mamluk, kwenye vita maaruf inayojukikana kama ain jarut. Walibondwa sana.
Huna unachojua,Ilikuwa imeshakuwa dismantled kitambo sana ,ilikuwa ishavurugika sio tenna mongul ya kipind kile
Wangekutana nao mwanzo wamevunjwa vichwa
Nadhani wanaowakaribia ni WA Israel wa Sasa wa Gaza.Ukweli ni kwamba sasahivi tunaishi kwa amani sana hapa duniani
Yalitokea mwaka Gani?Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio alipofia. Kuna wakati waliuua watu wakatengeneza pyarmid ya miili yao kwa kutofautisha wanaume, wanawake na watoto. Walifanya hivi katika jamii nyingi hadi kupelekea kupungua kwa population ya watu. Waliwahi kuwafanya walio survive katika ukatili kuwa shield (human shield) yao katika vita.
Kwa upande mwingine, kuna wakati watimuridi waliweza kufanya mauaji ya watu 70,000 katika mji ulioitwa Isfahan. Kiongozi wa timuridi alikuwa hadi anatengeza minara mirefu ilijengwa kutoka kwa mafuvu ya adui zake. Kampeni za Watimurid zilisababisha vifo vya mamilioni ya watu kote Asia na Mashariki ya Kati. Waliwahi kuzika watu 4000 wakiwa hai.
Na haya nimegusia baadhi ya unyama wao.