Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

Mchapaji hawezi kuja huku kulialia. Hilo ni domo zege la chai jaba
Mkuu Kuna mademu ukiwa piga sound ni sawa na kuwapa dhamana ya moja kwa moja... Wa Migahawani included. Yaani unatangazwa na kugandwa
 
Mtego huo ukitia neno tu sahau kuomba chenchi labda uende kula na hela kamili. Mbinu mbadala ni utie nia halafu uhame mgahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…