Aisee huyu dogo mpya wa madrid Gonzalo García Torres ni

Aisee huyu dogo mpya wa madrid Gonzalo García Torres ni

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
20250702_114642.jpg
 
Madrid wameanza kurudi kwenye ubora wao pale kati Rudiger anacheza akiwa na majeraha watafute mtu wa kazi pale maana huyu dogo hata kutolewa ili aingie Mbape mimi niliona ni makosa dogo aliwaka sana ana Stamina,akili na pasi sahihi sana anatoa miaka 21 tu ataendelea kufanya vizuri pale Bernabeu.
 
Dogo ni goal machine. Akipata nafasi atafunga sanaaaa
 
Back
Top Bottom