Madrid wameanza kurudi kwenye ubora wao pale kati Rudiger anacheza akiwa na majeraha watafute mtu wa kazi pale maana huyu dogo hata kutolewa ili aingie Mbape mimi niliona ni makosa dogo aliwaka sana ana Stamina,akili na pasi sahihi sana anatoa miaka 21 tu ataendelea kufanya vizuri pale Bernabeu.