Aisee kitanuka! Eti nini??

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
yaani nimeiacha familia yangu...nimemuacha mke wangu na mtoto wangu tena nimepangwa porini kisa sina ndugu halmashauri..tena nimewahi kuripoti na hela ya kujikimu nimepewa nusu halafu eti waniambie eti mshahara sitapata mimi mwalimu mpya...jamani kwa hili sitavumilia...nasikia tanga jiji wameshaorganise mgomo...serikali ijue walimu wa sasa si kama wale! mbona kitanuka! kesho naenda halmashauri
 
Goma mwalimu goooma !!!! Tena beba vifurushi kabisaaa wakati unaenda halmashauri!!
 
ulitaka ajira umepata eti ugome ? kwani hizo shule nani afundishe jaman? au kwa sababu familia yako umeiacha mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…