CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
yaani nimeiacha familia yangu...nimemuacha mke wangu na mtoto wangu tena nimepangwa porini kisa sina ndugu halmashauri..tena nimewahi kuripoti na hela ya kujikimu nimepewa nusu halafu eti waniambie eti mshahara sitapata mimi mwalimu mpya...jamani kwa hili sitavumilia...nasikia tanga jiji wameshaorganise mgomo...serikali ijue walimu wa sasa si kama wale! mbona kitanuka! kesho naenda halmashauri