Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Na limwili lake lile kama putoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€­
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie fans wa WCB mna nini lakini khaaaaaah.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] msinihukumu mimi sina makosa[emoji38][emoji38][emoji38] na yeye anatumia utot ambao amevishwa na watu ili asamehewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwambieni kaliwa bc kaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaah, ila kwa maelezo haya, vanny boy yupo hatarini, maana muhusika anamtema na kumuangushia mzigo wa case lol. Patamu hapo.
 
Wanazengo wamepiga kambi mtandaoni kumtetea Rayvanny.

Rayvanny kamdhalilisha Paula mtandaoni.

WCB hawanabudi kujitenge na Rayvanny, imkane ili kusave brand yao isizame kwa kashfa ya ufuska na udhalilishaji.

Kitendo cha WCB kunyamazia hii issue inaonyesha wanakubaliana na Rayvanny na udhalilishaji alioufanya Rayvanny.
 
Udhalilishaji upi, jibu swali hili kama mtu anayemiliki ubongo.
 
Boss Mendez amepost wimbo wa Rayvanny akimsifia Paula , na akasema tutaje mstar tunaoukubali mana Ngoma ipo namba one trending , si tukapaza Kwa sauti "tukatoe mahali Kwa mzee masanjaaaaaaaaa" alaf na wewe unaleta ngojera zako , ndo matatizo ya kuwasha data mara moja Kwa wikiπŸ˜€πŸ˜€ hay mambo tumeyaongea Sana humu
 

10-4.
Sawa ushahidi huo, wamekubali kumdhalilisha Paula ili kuuza wimbo. Asante kwa ushahidi.
 
We utakuwa na Korona πŸ˜€πŸ˜€ wahi mhimbili upate oxygen

WCB wadhalilishaji wanawake, wako radhi kuwatega wasichana na kurusha picha za ngono ili kutrend mtandaoni. Sheria ichukue mkondo wake iwe funzo wa wanaume na wasanii wote wanaotumia ufuska kutrend.

Wanawake na wanaume wema jiungeni kupinga haya, kukomesha udhalilishaji kwa makongamano na maandamano. Pia proceedings za huo wimbo zote ziende kwa victim aliyetumika.

WCB wafuska na wadhalilishaji.
 
10-4.
Sawa ushahidi huo, wamekubali kumdhalilisha Paula ili kuuza wimbo. Asante kwa ushahidi.
Tz kwaakili hizi sasa naanza kuelewa kwanini watu kama Hitler walikuwepo mtu anaandika kama katolewa ubongo enzi za Hitler huyu unapiga shaba.
 
Naona bado ngoma ina endelea,Konde yupo sambamba na Kajala.

Alafu kwenye hili swala naona kama Majani kajiweka pembeni,jana hakuenda kituo cha polisi leo napo hajaenda,kweli kamchoka mwanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…