Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaah, sawa.Lackhi ni kihindi
hahaha..! mkuu umeniona nn maana mgagani ndo mboga yangu na dona pembenHaya sasa ndo maisha halisi ya mtanzania,undefinedtulikuwa tunaigiliza,uchumi wa kuiga iga wazungu,eti burger,mara sausage,mambo ya kuiga iga tu,no wander kansa na kisukari zimezidi,bora turudi kwenye enzi za dona na mgagani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna member humu anajiita laki si pesa sijawahi mwona tena wala kumsikia nadhani kwisha habari yake
Kuna member humu anajiita laki si pesa sijawahi mwona tena wala kumsikia nadhani kwisha habari yake
laki si pesa.Kuna member humu anajiita laki si pesa sijawahi mwona tena wala kumsikia nadhani kwisha habari yake
MkuuHaya sasa ndo maisha halisi ya mtanzania,undefinedtulikuwa tunaigiliza,uchumi wa kuiga iga wazungu,eti burger,mara sausage,mambo ya kuiga iga tu,no wander kansa na kisukari zimezidi,bora turudi kwenye enzi za dona na mgagani