Aisee kumbe LAKI NI PESA

Haya sasa ndo maisha halisi ya mtanzania,undefinedtulikuwa tunaigiliza,uchumi wa kuiga iga wazungu,eti burger,mara sausage,mambo ya kuiga iga tu,no wander kansa na kisukari zimezidi,bora turudi kwenye enzi za dona na mgagani
hahaha..! mkuu umeniona nn maana mgagani ndo mboga yangu na dona pemben
 
Ulivyo maandazi umeeka na kakitisho ili tusiweke maoni yetu pesa ninayo na ku-comment na-comment
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hali iwe ngumu hivi hivi hadi 2050 mpaka muiheshimu shilingi ya tanzania ...... yaani sasa hivi sisikii ikiitwa madafu tena
 
Hata mia ni pesa, suala ni kubwa? na ukubwa wa pesa inategemea kama unayo au la!
 
Haya sasa ndo maisha halisi ya mtanzania,undefinedtulikuwa tunaigiliza,uchumi wa kuiga iga wazungu,eti burger,mara sausage,mambo ya kuiga iga tu,no wander kansa na kisukari zimezidi,bora turudi kwenye enzi za dona na mgagani
Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…