Aisee kumbe LAKI NI PESA

Wanaojua kutafuta na pesa isiwasumbue wako tele tu. Wako watu wanatumia kitoweo cha samaki Sato kilo moja ni shilingi 13,000. Wachovu tuliokuwa stricken na hali ni kama tulijitakia, wajanja ambao hawana mzaha na kutafuta pesa wala na kupotezwa na fikra na matumaini ya masikini wapo wanatanua tu. Gari za Milioni mia zimejaa tu huko Barabarani, watu wanaishi kwenye apartments kodi zake unaishiwa na nguvu, mahitaji yao wananunua shopping malls na Supermarkets, wanakula na kuvaa vya gharama ! Alaaa!
 
Huu uzi kila mtu atajifanya hana hela ila kwny nyuzi za kumiliki magari kule utakuta watu wanavipondea viBaby walker...JF nawashukuru kwa kunifunza kila siku
 
Huu uzi kila mtu atajifanya hana hela ila kwny nyuzi za kumiliki magari kule utakuta watu wanavipondea viBaby walker...JF nawashukuru kwa kunifunza kila siku
Hehehe
 
Karibuni ugari kabichi wakuu bajeti yangu mpaka msosi umeiva ni buku 2 tu

Unga nusu -500
Kabichi -300
Nyanya 2-200
Mafuta ya kula -200
Kitunguu cha -100
Mkaa wa -500
Na maji ya-200(Kandoro)

Karibuni sana wakuuu.
Nikiona hili nakumbuka interview ya chid benz ile ya "madini ya muunganiko wa kuunga unga, kisha waungaji nao walivyounga unga yakatokoea maunga unga ambayo madini yake yame ungwa ungwa, gharama yake ni rahisi sana kwa sababu ni washkaji maskani walijaribu kukaa wakaunga unga ki idea za hapa na pale ambazo hazina gharama yeyote" ha ha ha ha ha ha!
 
Chid tyr tumemkosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…