Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
We! hata Baba yako anaweza akawa humu ndani chezea jf...
jf bana....
Sasa kali ni pale utapokua wamporomoshea mijitusi nduguyo au mzazi
nimebadili usirudie tena kuchungulia PC yanguKuna prof mmoja humu, lol! Nilimuona id yake kaacha kwenye pc. Siku akinijua hehehe.
Shkamoo mwalimuuuu!
Kuna prof mmoja humu, lol! Nilimuona id yake kaacha kwenye pc. Siku akinijua hehehe.
Shkamoo mwalimuuuu!
HAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAAAAA
sasa mimi nakujua fika mkuu!!! yani JF rahaaaaaaaaaaaa
ILA HESHIMA NAWEKA MBELE MKUU!!!
Kuna prof mmoja humu, lol! Nilimuona id yake kaacha kwenye pc. Siku akinijua hehehe.
Shkamoo mwalimuuuu!
Jamani nilikuwa maeneo fulani mzee mmoja katika kutoa nasaha ili vijana wamuelewe vizuri si akatupia stori fulani hivi ya
Mtambuzi kama ilivyo!...
Nikatabasamu nikasema duh,kumbe na mzee yupo JF nikatamani ningemsoma nikajua na michango yake kule MMU lakini
inawezekana pia alizisoma zamani enzi hizo zinatolewa katika gazeti ambazo Mtambuzi huwa anasema baadhi ziliwahi
kuandikwa huko au ni miongoni mwa hawa wazee wetu humu!...
Weye unanijua mi nilivyo nna adabu. Mbona wataka kunisingizia?kwani ushawahi kumpa za uso humu?
We! hata Baba yako anaweza akawa humu ndani chezea jf...
Cpati picha hiyo first date cjui utasemaje,lol!...ndomana ni vema kuwa makini humu jf, unaweza kumtokea nduguyo, lol.