Aisee kumbe ni sahihi kulipwa kwa dowans

Aisee kumbe ni sahihi kulipwa kwa dowans

actus

Senior Member
Joined
Oct 7, 2011
Posts
104
Reaction score
24
Wadau nimepitia judgement ya dowans,aisee kumbe wanaharakati walio enda kuweka pingamizi pale High Court kupinga malipo yasifanyike sijui hawakusoma kwanza sheria inasemaje au basi tu walikua wanatest zali.na pia wanaposhinikiza tuandamane mmh hapa napo sijui wanataka nini.
kwa ufupi ni kua hata kama mkataba ulikua batili toka mwanzo wao wanaita nully and void(void abnitio)sheria za kimataifa ambazo ndo zilikua msingi wa mkataba INTERNATIONAL CHAMBER OF COMMERCE(ICC) kuna hizo RULES OF ICC on Arbitration zinautambua mkataba husika.
So the matter of being void abnitio does not hold water.

Article 6(4) of the same Rule inasema " Unless otherwise agreed,the Arbitral Tribunal Shall not cease to have jurisdiction by reasn of any claim that the contract is null and void or allegation that it is non existent that the Arbitral Tribunal upholds the validity of the arbitration agreement.The Arbitral Tribunal shall continue to have jurisdiction to determine the respective rights of the parties and to adjudicate their claims and pleas even though the contract itself may be non existent or null and void."

sasa basi kwa kifungu hicho hizo kelele za kua mkataba ni fek,oooh tuandamane ooh tupinge mmh hapo walishakubaliana kua watakua governed na the said rules,na Arbutral Tribunal itakua na mamlaka ya kuamua haki za mtu regadless mkataba ni feki.
sasa dowans si aliwapa umeme?na si mliutumia?jinsi gani alipata tenda ni immaterial apewe chake as much as amepeform.

angalizo.watanzania tuzidi kujifunza kutokana na makosa maana ndo usemi ulio wakaa kichwani.
Turudi kwenye hoja zetu za msingi tulizo zizoea za Kwa kumtizama chura kama chura je amesimama au amechuchumaa??
hizo ndo hoja zetu ambazo tunaziweza.
 
Hatujakataa kulipwa kwa Dowans but hatutaki fedha kutoka kwenye kodi zetu ndo zilipe,,tunataka walioingia mkataba ndo walipe izo fedha,,swali la ufahamu hivi Dowans Tanzania ni nani???mbona hajulikani mmliki hata mzee wa kaya kakanusha pale dodoma???
 
Huna hoja ya kuwashawishi watanzania kuhusu malipo ya Dowans,
Mkuu mie sio hoja ni sheria ilivyo baada ya kusoma judgment.hacha hasira wewe hoja yako ni ipi inayofanya useme hawalipwi?labada unayo?
 
Tatizo ni kuwa dowans haina mmiliki, yule all hadaw aka ali hadaiwi aliekataa kupigwa picha si mmiliki halali ndo mana hakukuta na kiongoz yoyote. ivi we upangishiwe nyumba afu aliekupangisha humjui unaambiwa we weka hela hapo mezan mwenye nyumba usie mjua atazichukua, we utakubali? dowans ni kizungumkuti
 
naona RA umejiunga JF ili utushawishi na humu.....................baaaaado,kulipwa utalipwa lakini kwa mbinde kichizi
 
walaumiwe walosaini na kuupitisha mkataba huo,ILA KULIPWA LAZIMA WALIPWE,kumjua anaemiliki sidhani kama ni hoja kwani ndo makosa yao na LAZIMA TULIPE
 
anayelipwa ni DOWANS.This is a company as a legal entity.wamiliki ni kina nani?????nadhani ndo lingekua swali.

Unachotakiwa kufahamu RA a.k.a actus ni kwamba hata kama sheria inawapa favor DOWANS, sisi watanzania tunachotaka ni kwamba waliohusika kwenye mikataba hiyo wao ndio walipe lakini sio pesa kutoka kwenye kodi ya wananchi. Inabidi wafilisiwe!!!!
 
Halipwi mtu toka katika pesa za walipa kodi.
 
Unachotakiwa kufahamu RA a.k.a actus ni kwamba hata kama sheria inawapa favor DOWANS, sisi watanzania tunachotaka ni kwamba waliohusika kwenye mikataba hiyo wao ndio walipe lakini sio pesa kutoka kwenye kodi ya wananchi. Inabidi wafilisiwe!!!!

unachotakiwa kufahamu Muacici a.k.a mkosa hoja za mashiko ni kua nyie watanzania ndo mlipewa huduma ya umeme wa dharura DOWANS kwani hamna uwezo na serikali yenu isiyo sikivu kuwa na vyanzo vya uhakika vya uzalishaji umeme.hivyo basi inabidi mlipe kutoka kwenye hizo kodi zenu.mnataka zitoke wapi wakati nyie ndo mmetumia huduma kwa kujiachia?au hamkutumia.jamani ndo malipo yanafanyika kwa kile kiasi cha umeme mliotumia.
mkuu shirikisha akili usiwe na hasira
 
Unachotakiwa kufahamu RA a.k.a actus ni kwamba hata kama sheria inawapa favor DOWANS, sisi watanzania tunachotaka ni kwamba waliohusika kwenye mikataba hiyo wao ndio walipe lakini sio pesa kutoka kwenye kodi ya wananchi. Inabidi wafilisiwe!!!!
muacici a.k.a mao tse tung hakuna mtu aliyeingia mkataba. Tanzania ndiyo iliyoingia mkataba . hata kama tutaandama hadi maka na medina sheria ipo wazi. hao maactivist wanataka kujipatia umaarufu kutokana na umbumbu wetu wa kutozijua sheria. most of us are lay men.
utamkata nani hizo trillion? watakushitaki tena na utawalipa fidia. wala huwezi kusema kuwa walitumia madaraka vibaya. wanaharakati walikuwa wapi kabla mkataba haujatiwa saini?
 
Hatujakataa kulipwa kwa Dowans but hatutaki fedha kutoka kwenye kodi zetu ndo zilipe,,tunataka walioingia mkataba ndo walipe izo fedha,,swali la ufahamu hivi Dowans Tanzania ni nani???mbona hajulikani mmliki hata mzee wa kaya kakanusha pale dodoma???[/QUOTE

Hivi Jk anazijua kampuni zote zinazofanya kazi bongo?
 
Ok wakuu inaonyesha dowans inailikiwa na zimwi lisiloonekana na waliosaini mkatababa ndio wezi namba moja wafilisiwe kuvua magamba haitoshi na haiwasaidii wananchi kuachia ngazi kwa lowasa na kuvunjwa kwa baraza la mawaziri hakumnufaishi mwanainchi ila walio husika wakifilisiwa pesa hizo ndo zilipe kwenye kampuni hewa na inawezekana waliosaini mkataba ndio wamiliki pumbafu zao natamani watandikwe mawe kwa kututesa
 
Hoja ni kulipa Dowans na sio kujua nani mmiliki, na pia kujua mmiliki wa Dowans hata msiumie kichwa, kampuni huwa zina Memorandum of association ambayo ni public document kila mtu ana access nayo nayo memorandum inataja nani kaanzisha kampuni na ana shares kiasi gani, na adress za walioianzisha. Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom