brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Kwa nini?Hamna kitu
Huyu Jamaa hapo ndiye babake?Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo
Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema Sepetu aliandika maneno yanayoashiria kumkumbuka baba yake kipenzi mzee Isack Sepetu kwa kutumia lugha ya kiarabu
View attachment 400861
View attachment 400862
Mwenzangu atupishe, hii wala haijabambaKuandika tu hayoo ndo kiarabu kakijua nipisheeee
Mkuu mbona jibu la swali lako liko kwenye hayo maelezo ya mleta habari!Huyu Jamaa hapo ndiye babake?
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo
Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema Sepetu aliandika maneno yanayoashiria kumkumbuka baba yake kipenzi mzee Isack Sepetu kwa kutumia lugha ya kiarabu
View attachment 400861
View attachment 400862
Kwa kiarabu Gani Binam nilikumissMwenzangu atupishe, hii wala haijabamba