Aisee kumbe Wema mpaka kiarabu ana kicharaza bila shida

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo

Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema Sepetu aliandika maneno yanayoashiria kumkumbuka baba yake kipenzi mzee Isack Sepetu kwa kutumia lugha ya kiarabu

1473953219813.jpg

1473953230623.jpg
 
Lugha zote ni sawa, sio kwamba eti mtu akijua lugha fulani basi yupo juu zaidi ya wengine
 
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo

Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema Sepetu aliandika maneno yanayoashiria kumkumbuka baba yake kipenzi mzee Isack Sepetu kwa kutumia lugha ya kiarabu

View attachment 400861

View attachment 400862
Huyu Jamaa hapo ndiye babake?
 
Sio lazima akawa ameandka yeye Labda Kuna mtu anajua ndo kamsaidia ku andika
 
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo

Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema Sepetu aliandika maneno yanayoashiria kumkumbuka baba yake kipenzi mzee Isack Sepetu kwa kutumia lugha ya kiarabu

View attachment 400861

View attachment 400862

Sasa kama ili afanikiwe " kumchuna " Mwarabu " koko " inamlazimu aweze kuongea nae kwa Kiarabu unadhani ataacha kujifunza Mkuu?
 
Ni lugha kama lugha zingine, ningemsifu sana kama angetumia lugha ya kabila lake. Tupende vya kwetuuuuu.
 
Back
Top Bottom