Mie huwa SRT Demon huwa naipigia sana hesabuRoho yangu ni dodge challenger
Unafikiri kutembeza Hemi V8 ni kama kupiga mswaki eeh!?Nashangaa road tumejaza wish, vanguard,ist ,forester na crowns, kumbe gari zipo aina nyingi namna hii?
naam jembe languππ€£Kataa ndoa..π€¨
kaka Una kaanga SanaπUnafikiri kutembeza Hemi V8 ni kama kupiga mswaki eeh!?
V6 or V8Nina ndoto za kumiliki dodge Durango