Aisee kuna wanaume wavivu

Hivi wewe wanawake unawajua unawasikia?? We mtetee tuu
Watu wanaliwa na wapaka rangi sembuse boda
Sinaga mawazo au kumfikiria vibaya mke wangu.. najua ni mwanaume anaweza akafanya chochote, ila sina sababu ya kumuwazia katika udhaifu au mawazo mabaya au ya kulala na mtu yoyote, huko ni kumkosea heshima na kushusha thamani yake..
 
Najua leo kwa uzi huu wabaya wangu ambao wengi ni wanaume (mnajijua ) ndo muda muafak wa kuja na zile I'd zenu za mazabe kuandika pumbaa
Angalieni nisije watataja tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…